BancABC Prepaid Visa Card

Fanya Miamala yako bure kwenye POS kupitia kadi ya Visa ya Prepaid kutoka BancABC. Kadi hii inapatikana kwenye sarafu 6 tofauti ambazo ni USD, TZS, GBP, EURO, ZAR na YUAN.

Jaza maelezo yako hapa chini ili kuagiza kadi yako ya VISA kutoka BANC ABC.
Tutakuletea Popote ulipo!

Your message has been sent. Thank you!
Agiza kadi yako kwenye sarafu zozote kati ya hizo 6 na ufuraie kufanya miamala bure mtandoni na kwenye mashine za POS.

Faida za kumiliki kadi ya Prepaid ya Visa kutoka Banc ABC

Bei rahisi na Nafuu

Kadi zetu hazina makato ya mwezi na hazina hela ya kuendesha akaunti hivyo zinakupunguzia gharama za mwezi kwa mtumiaji.

Pata taarifa kiganjani mwako

Pokea taarifa papo hapo kila ukifanya muamala kwa kutumia kadi ya prepaid kupitia simu yako ya mkononi.

Inapunguza athari za fedha za kigeni

Kadi zetu zinapatikana katika safaru sita (USD,GBP,CNY,ZAR,EUR,TZS) hii inakupunguzia athari za kutafuta fedha a kigeni kwa wateja wanaofanya malipo kwa kutumia fedha za kigeni

Inatumika popote (gundua ulimwengu usio na mipaka)

Ni rahisi kutoa pesa taslimu zaidi ya 2.7m kwa ATM za Viza ulimwenguni kote. Malipo yanakubalika kwa zaidi ya wafanyabiashara wanaotumia VIZA millioni 46+ ulimwenguni kote

Usalama wa kadi

Zaidi ya usalama wa kulipa bila kugusa kwenye kadi zetu utapewa PIN itakayokupa usalama kila siku ukisafiri na kununua miamala yako

Inakupa njia weruvu ya kumiliki pesa taslimu

Inapunguza mzigo wa kubeba fedha taslimu ukiwa unasafiri nje ya nchi

Tuma Ujumbe

Mpendwa mteja, Tafadhali tujulishe changamoto yako na tutakurejea mapema iwezavyo.